Header Ads Widget

AJALI:BASI LA KAMPUNI YA SHABIBY LAPINDUKA MOROGORO

 



BASI la kampuni ya Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma limepata ajali baada ya kupinduka  asubuhi ya leo mkoani Morogoro wakati dereva akijaribu kuyapita magari mengine na Kukutana na bajaji .

Mashuhuda wa ajali hiyo wameueleza mtandao wa Matukio Daima media kuwa chanzo Cha ajali ni derevawa Shabiby kushindwa kumudu basi hilo  akitaka kurudi kwenye njia yake na kuanguka .

Ajali hii imetokea majira ya saa 12 asubuhi mjini Morogoro na hakuna Kifo kilichoripotiwa.


Matukio Daima media tunaendelea kumtafuta  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama ili kujua madhara zaidi ya ajali hiyo na tutaendelea kuwajuza zaidi kupitia chanel ya Matukio Daima Tv,App ya Matukio Daima na mitandao mingine ya kijamii.


Mwisho

KANISA LA WA-ADVENTISTA WASABATO IRINGA MJINI LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KATIKA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA LA KISASA  LINALOJENGWA KATIKA VIUNGA VYA KANISA HILO  ENEO LA GANGILONGA  KATIKA MANISPAA YA IRINGA.  HARAMBEE HIYO ITAFANYIKA MNAMO TAREHE 01 JUNI 2024.

MGENI RASMI KATIKA HARAMBEE HIYO ATAKUWA NI MKUU WA MKOA WA IRINGA MHE. PETER JOSEPH SERUKAMBA.


WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA HARAMBEE HIYO.  KWA WANAOWEZA KUCHANGIA BASI WAFANYE HIVYO KUPITIA AKAUNTI NAMBA 605010048917 –THE SDA CHURCH IRINGA NMB


ILI KUPATA TAARIFA ZAIDI KUHUSU HARAMBEE HII, MAWASILIANO YOTE YAFANYIKE KUPITIA MCHUNGAJI WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LA IRINGA MJINI, MCHUNGAJI STEVEN NGUSSA.

                  MUNGU AWABARIKI WOTE KWA KUWA TAYARI KUSHIRIKI KATIKA HARAMBEE HII




Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI