Header Ads Widget

RATIBA YA MAZISHI YA MTANGAZAJI GARDNER G. HABASH


Ratiba ya mazishi ya Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner G. Habash amefariki dunia alfajiri Aprili 20, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokuwa akipatiwa matibabu.

Gardner ni mtangazaji wa pili kufariki dunia akiwa anakitumikia kipindi cha Jahazi, baada ya Ephraim Kibonde aliyefariki dunia Aprili 2021 akiwa anatibiwa katika Hospitali ya Bugando, mkoani Mwanza.


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI