NA WILLIUM PAUL, MOSHI.
MWENGE wa Uhuru umepokelewa katika halmashauri ya Moshi wilaya Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo unatarajiwa kutembelea miradi saba yenye thamani ya Bilioni 2.3 ambapo utakimbizwa kilomita 120.4.
Akizungumza wakati wa makabidhiano wa Mwenge huo ukitokea wilaya ya Rombo, Mkuu wa wilaya ya Moshi, Zephania Sumaye alisema kuwa, katika miradi hiyo miradi minne itazinduliwa, miradi miwili itatembelewa na mradi mmoja utawekewa jiwe la msingi.
Mwisho..
0 Comments