NA WILLIUM PAUL, MOSHI.
MBUNGE wa Jimbo la Moshi vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi amekabidhi Ftar ya Tende kwa Misikiti mbalimbali iliyopo katika Jimbo la Moshi Vijijini.
Zoezi hilo la ugawaji tende lilifanyika katika ofisi za BAKWATA Mkoa wa Kilimanjaro.
Akipokea Tende hizo kwa niaba ya BAKWATA Wilaya ya Moshi Vijijini, Husein Jamal amemshukuru Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini kwa kuendelea kuwakumbuka Waislamu kipindi cha Mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhani.
Mwisho..
0 Comments