JOYCE KUPPA ( 19) MKAZI WA MAWELEWELE MJINI IRINGA ALISUKA RASTA NDEFU
ANATAFUTWA NA FAMILIA TAKE BAADA TA KUONDOKA TOKA APRIL 1 2024 MAJIRA YA SAA 9 ALASIRI , ALIAGA ANAKWENDA KUTEMBEA MJINI(MATEMBEZI YA KAWAIDA YA SIKUKUU).
TOKEA HAPO HAJARUDI TENA NYUMBANI .IWAPO UNAJUA ALIPO TUPIGIE SIMU 0756767091/0718873788
0 Comments