Header Ads Widget

WANANCHI SONGWE WAOMBA UCHIMBAJI VISIMA VYA MAJI UZIN GATIE USAWA.

Na Ibrahim Yassin, Matukio Daima App, Songwe.BAADHI ya wananchi wa halmashauri tatu mkoani Songwe wameiomba serikali kuzingatia usawa katika uchimbaji visima vya maji ili kuleta tija kwa  wote.Wananchi hao wameya sema hayo kwa nyakati tofauti baada ya ujio wa gari la kuchimba visima kuingia halmashauri ya Momba kwa amri ya Bun ge baada ya mbunge Con dester Sichalwe kuone sha picha za hali ya maji.Mwandishi wa habari wa matukio Daima alifika kwenye halmashauri tatu za mkoa huo kisha kuzun gumza na wakazi wa maeneo hayo.Anne Kayange mkazi wa Ileje alisema ujio wa gari la kuchimba visima uzing atie usawa isiwe kwa Mo mba pekee  kwani hata Ileje kuna baadhi ya vijiji havina maji.Salas Mwashilindi mkazi wa Songwe alisema wil aya yao inachanga moto kubwa ya upatikanaji wa maji safi hivyo na wao wanahitaji gari lifike kuchimba visima hasa maeneo ya vijijini.Alisema miaka mitatu ya nyuma wilayani yao wananchi walikunbwa na homa ya kipindupindu chanzo ni unywaji maji yasio salama ya kwenye mifereji.Alisema miradi mingi ya maji iliyojengwa imekuw a na kasoro kubwa imafi kia hatua Ruwasa wanaje nga mradi kwenye chan zo chenye maji ya chum vi ambayo hayatumiki huku serikali ikitumia fedha zilizoenda bure.Nae mkazi wa Momba Salufu Mkamba alisema ujio wa gari la kuchimba visima utaleta tija iwapo kila eneo lenye uhaba wa maji litachimbiwa kusima.Alisema kwa miaka ming i wakazi wa Momba wa mekuwa wakinywa maji machafu ya kwenye mito, madimbwi na mifereji ambayo si safi na sala ma."Ebu tazama tunachim bua mashimo kwenye mifereji ukiyokauka ku tafuta maji ambayo rangi yake tu inadhihirisha ku wa ni machafu yasiyo na ubora,tunalazimika kun ywa kwa kuwa hatuna namna nyingine ya kupa ta maji safi" alisema.Nae Zacharia Zumba mkazi wa Tunduma, alise ma changamoto ya maji wameizoea miradi mingi imejengwa lakini haijawe za kutatua tatizo hivyo ni bora gari hilo la kuchimb a visima likazun guka maeneo yote.Siku za hivi karibuni akiwa wilayani Momba mkurugenzi mkuu wa Ruwasa (DG) Eng , Clem ent Kivegalo alikiri uwepo wa changa moto ya maji akisema Momba pekee inaukos efu wa maji safi zaidi ya asilimia 50.

 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI