Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt. Francis Michael akiwasikiliza wanafunzi wa shule ya Msingi Katete na shule ya Msingi Mpemba Mjini Tunduma
RC Dkt Michael akiwa katika pozi ya picha
Picha na brahim Yassin Matukio App -Songwe
Dkt. Francis amewataka wanafunzi hao kutumia muda mwingi kujifunza ili kuongeza maarifa ambayo ni sehemu kubwa ya mafanikio katika maisha yao.
Vilevile aliwataka walimu kuongeza juhudi katika ufundishaji na kuwa ongezea wanafunzi hao uwezo wa kujiamini katika kujibu maswali.
0 Comments