Na Mapuli Kitina Misalaba
Kamati ya usalama Barabarani Mkoa wa Shinyanga Jumatano Februari 28,2024 imekabidhi Gari aina ya TOYOTA KULDER STATION WAGON yenye namba T530 EFP, lenye thamani ya Shilingi Milioni 29 kwa ajili ya kurahisisha doria mbalimbali za Barabarani.
Gari hilo limekabidhiwa leo kwa kamanda wa jeshi la Polisi
Mkoa wa Shinyanga kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi (SACP) Janeth Magomi na
mwenyekiti wa kamati ya usalama Barabarani Mkoa wa Shinyanga Bwana Wilson
Majiji kwa niaba ya kamati hiyo.
Akikabidhi gari hilo Mwenyekiti wa kamati ya usalama
barabarani Mkoa wa Shinyanga Bwana Wilson Majiji amelitaka jeshi hilo la Polisi
Mkoa wa Shinyanga kulitumia Gari hilo vizuri kwa ajili ya kurahishaji doria
mbalimbali za Barabarani katika kudhibiti ajali zisizokuwa za lazima na
kuhakikisha Mkoa unakuwa salama.
Kwa upande wake kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa
Shinyanga kamishina msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Janeth Magomi ameishukuru kamati hiyo ya usalama Barabarani
Mkoa wa Shinyanga na kuahidi kulitumia gari hilo kwa shughuli iliyokusudiwa ili
kuhakikisha ajali za Barabarani zinapungua na kuufanya Mkoa wa Shinyanga kuwa
salama.
Muonekano wa Gari ambalo limenunuliwa na kamati ya usalama Barabarani Mkoa wa Shinyanga.
Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga
kamishina msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Janeth Magomi akiliendesha Gari hilo.

kamishina msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Janeth Magomi akiishukuru na kuipongeza kamati hiyo kwa kufanikiwa kununua Gari ili kurahisisha doria.
Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga
kamishina msaidizi mwandamizi wa Polisi SACP Janeth Magomi akiwa kwenye picha ya pamoja na viogozi
wakiwemo wajumbe wa kamati ya usalama Barabarani Mkoa wa Shinyanga.

0 Comments