Na Ibrahim Yassin.Matukio Daima App Songwe
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limeungana na dunia katika swala la kutunza mazingira kama lilivyoelezwa vizuri kwe nye makubaliano ya mkutano wa Umoja wa Mataifa unaohusu utunzaji wa Mazingira uliofanyika May 16 mwaka 1972 nchini Sweden.
Katika kuhakikisha linashiriki vyema katika maadhimio ya mkutano huo, tarehe 17 Februari 2024, maofisa, wakaguzi na Askari wa vyeo mb alimbali wakiongoz wa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP GALLUS HYERA wameshiriki kat ika kampeni ya upan daji miti ambapo jumla ya miti 1,000 imepandwa katika maeneo yanayo milikiwa na Jeshi la Polisi.
Kampeni ya upandaji miti kwa Jeshi la Polisi ilizind uliwa tarehe 07 Februari 2024 na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP. Cam illus Wambura ikiwa ni sehemu ya kuunga mkon o juhudi za Rais wa Jam huri ya Muungano wa Tanzania na Amir Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Uli nzi na Usalama Dkt. Sam ia Suluhu Hassan katika kuhakikisha Tanzania ina kuwa ya kijani.
0 Comments