Header Ads Widget

DC ILEJE AAGIZA TA KU KURU KUCHUNG UZA MRADI WA MII,L TSh 34.5




Na Ibrahim Yassin Matukio Daima App

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) wilayani Ileje mkoani Songwe imeagiz wa kufanya uchunguzi ujenzi wa mradi wa vyoo katika shule ya msingi Malangali wenye thama ni ya Sh 34.5 milioni amb ao umebainika kuwa na kasoro.



Agizo hilo limetolewa  jana na mkuu wa wilaya hiyo Farida Mgomi waka ti alipo kwenda kukagua ujenzi wa vyoo kwenye  mradi ya Usafi wa Mazi ngira Maji na Afya (WASH) kwe nye shule tano za msingi wilayani humo wenye tha mani ya Sh193.79 milioni.



Mgomi alisema Takuk uru inatakiwa kufanya uchunguzi kwani mradi huu umebainika kutozin gatia vipimo vya ramani ya ujenzi ukilinganisha na sehemu zingine amb apo vipimo ni milimita 320 lakini wao wameje nga milimita 200.



Mgomi alisema wilaya ya Ileje imepokea fedha Sh 193.7 milioni  kutoka ben ki ya Dunia kupitia wizara ya elimu kwa ajili ya uje nzi wa matundu 65 ya vy oo kwenye shule tano za msingi ambazo zilikuwa na vyoo vibovu.



"Fundi mkuu wa ujenzi wa mradi huo alisema mhandisi ndiye alinichole a ramani hii ambayo haip o kwenye mwongozo hivyo Takukuru hakikish eni mnafanya uchunguzi kwa kina pia ujenzi usi mame mpaka pale tutak apojuwa Kuna makub aliano gani kati ya wasim amizi wa mradi ambao ni idara ya elimu msingi pa moja na wahandisi wa ujenzi," alisema Mgo mi.



Aidha Mgomi amewata ka wahandisi wa ujenzi wilayani humo kusima mia ujenzi wa miradi kwa uadilifu, kuijenga kwa viw ango bila kufanya hujum a kulingana na thamani ya fedha inayotolewa na serikali.



Angomwile Pwele, fundi wa ujenzi kwenye mradi wa Malangali alisema ukaguzi huo umesaidia kubaini makosa ya rama ni amabyo alipewa na mhandisi wa ujenzi na kwamba maelekezo ya mkuu wa wilaya kwa Takukuru yataleta majibu ya nini kipo nyuma ya pazia.



Therezia Obeid afisa elimu watu wazima akiz ungumza kwaniaba ya afisa elimu msingi wila yani humo amezitaja shule zilizonufaika na mradi huo kuwa  Bupigu shule ya msingi Sh 34.5 milioni, Ishenta Sh 40.5 milioni, Itumba Sh 36.8 milioni, Malangali Sh 34.5 milioni na Nyerere Sh 47.5 milioni.



"Shule ya msingi Bupingu vinajengwa vyoo matun du 11, Ishenta matundu 14, Itumba matunda 12, Malangali matundu 11, Nyerere matundu 17," alisema Therezia.

Elizabeth Mshani na   mkazi wa Malangali alise ma miradi mingi kwenye kata hiyo imekuwa ikiku mbwa na doa baada ya kumaliz ika hivyo tunap ongeza juhudi za kubaini mape ma tatizo na kwa mba watakaobainika wa chuki we hatua kali.



Martin Kayange mkazi wa Malangali alisema hatua aliyoiamua mkuu wa wilaya ni muhimu san a kwani serikali inaleta hela lakini usimamizi mbovu uliopo unakwa misha miradi 


Mwisho.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI