Header Ads Widget

CHUO KIKUU CHA MONDLANE NCHINI MSUMBIJI KUANZISHA DARASA LA KISWAHILI NA UDSM KUANZISHA LA KIRENO





Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji   Phaustine Kasike amekutana na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Eduardo Mondlane Cha Msumbiji ulioongozwa na Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Doutor Manuel Guilherme Junior, leo tarehe 13 Februari, 2024.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka ubalozi wa Tanzanis, pande mbili hizo zilikubaliana kuimarisha uhusiano na ushirikiano (kati ya Tanzania na Msumbiji) katika sekta ya Elimu, hususan kuanzishwa Darasa la Kiswahili Chuoni hapo na Darasa la Kireno katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI