Header Ads Widget

MISUNGWI KURUDI KWENYE JICHO LA SOKA TENA.

 

Anaandika King Bashite

Misungwi Mwanza

14/01/2024.


Pongezi kubwa sana kwa Mkurugenzi wa Gwambina limited na Mbunge wa Jimbo la Misungwi na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti kwa kuipenda Misungwi yetu.


Pongezi kubwa zingine kubwa ni  Mr JAPHETH MAKAU Mkurugenzi wa taasisi ya FOUNTAIN GATE COMPANY. Kukubali Kuwekeza Misungwi na kuwa karibu na familia kubwa ya GWAMBINA.


Fountain gate company imekubali kuihamishia timu   yake   wilayani Misungwi - Mwanza na Kuitoa Mkoani SINGIDA  na kuibadili jina  na itaitwa  FOUNTAIN GATE FC na makao yake makuu  yatakuwa Misungwi ( GWAMBINA VILLAGE HOTEL ) Mwanza na uwanja watakao kuwa wanautumia ni GWAMBINA  COMPLEX                 (FOUNTAIN GATE STADIUM) .


Maazimio hayo yanakuja tu baada ya Fountain gate company kuinunua  timu ya IHEFU na itajulikana kwa jina la SINGIDA BIG STARS na maskani yake yatakuwa mkoani ARUSHA na hapo baadae inaweza kurejeshwa mkoani LINDI .


Huku timu ya Fountain gate academy ( FGA TALENT

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI