Na Pamela Mollel
Zaidi ya watu 200 kutoka taasisi za serikali na zisizo za kiserikali wameungana na serikali kupandisha bendera ya Uhuru Kileleni ikiwa ni kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika
Mkurugenzi wa Taasisi ya Kazoba International Products ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki kupandisha bendera ya Uhuru Kileleni ambapo kupitia mkurugenzi wake Kazoba Mwesiga ameeleza miongoni mwa sababu zilizowapelekea kupanda mlima kuwa ni pamoja kuiunga serikali mkono
Kazoba ameeleza lengo la wao kama taasisi isiyo ya kiserikali kuungana na serikali kupanda mlima ni kuunga mkono juhudi za serikali hususan zinazofanya na Rais Samia za kuutangaza utalii
Amefafanua kuwa endapo watafanikiwa kuifikisha bendera ya uhuru Kileleni watatumia nafasi hiyo katika kuhamasisha matumizi ya tiba asili na tiba
0 Comments