Header Ads Widget

PROF. NDAKIDEMI ATAKA MALI ZA USHIRIKA KULINDWA ILI KUWANUFAISHA WANAUSHIRIKA.

 


NA WILLIUM PAUL, MOSHI. 

MBUNGE wa Jimbo la Moshi vijijini wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, Prof. Patrick Ndakidemi ameiomba Serikali kupitia chama cha Mapinduzi mkoa kuhakikisha wanalinda mashamba ya vyama vya ushirika ili yawanufaishe wanaushirika. 


Prof. Ndakidemi ametoa kauli hiyo leo katika kikao cha Halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi ambapo amesema kuwa vipo vyama vya ushirika vinavyomiliki mashamba makubwa.



Alisema kuwa, mashamba hayo ni mali ya wanaushirika na kuiomba serikali kuhakikisha inayasimamia mashamba hayo kwa manufaa mapana ya ushirika.

Mwisho.. 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI