Header Ads Widget

RC IRINGA APONGEZWA NA USAID KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VVU NA UKIMWI

 

Mkurugenzi Mkazi wa USAID Craig Hart akimkabidhi leo ofisini kwake mkuu wa mkoa wa Iringa Halima Dendego cheti cha shukrani kwa  ushirikiano muhimu na mchango katika kupunguza unyanyapaa wa VVU na katika Kukomesha VVU na UKIMWI mkoa wa Iringa


Mkurugenzi Mkazi wa USAID Craig Hart wa pili Kushoto akiwa katika picha ya pamoja leo  na mkuu wa mkoa wa Iringa Halima Dendego wa tatu Kulia na Viongozi wengine wa Mkoa wa Iringa ,wa kwanza Kulia Anna Hoffman Mkurugenzi msaidizi kitengo cha afya USAID na wa pili Kulia Jessica Greene mratibu wa Mfuko wa dharura wa Rais wa Marekani wa kupambana na UKIMWI (PEPFAR )Tanzania wengine ni katibu Tawala wa mkoa wa Iringa  Mhandisi Leonard Masanja (mwenye kaunta suti) na WA kwanza Kushoto ni mkuu wa Wilaya ya Iringa Veronica Kessy 



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI