Habari Wapendwa. Naitwa Obadia Yesaya Ngailo mkazi wa Mafinga, Mtaa wa Mizani Kata ya Kinyanambo Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa.
Nasikitika kutangaza kupotelewa kwa Vyeti vya Kuzaliwa (Obadia Yesaya Ngailo, Perida Erasto Malila, Elia Obadia Ngailo na Elisha Obadia Ngailo), Vyeti vya Kitaaluma (Msingi na Sekondari), Vyeti vya Ujuzi mbalimbali (Vyuo) na Vyeti vya Ndoa vyenye Majina yafuatayo; OBADIA YESAYA NGAILO na PERIDA ERASTO MALILA Vyeti vyote hivi vilikuwa kwenye Bahasha ya Plastic ndani ya kibegi cha mgongoni chenye rangi ya Pinki vimepotelea Mafinga mtaa wa mizani.
Kwa yeyote atakaye viona/okota awasiliane nami kwa namba 0757351837 / 0625686286 Au aviwasilishe katika Kituo chochote cha Polisi kilichopo Karibu nae.
Naomba tusaidiane kusambaza Tangazo hili ili kufanikisha kupatikana kwa Documents hizi.
Mwenyezi MUNGU awabariki nyote kwa Upendo wenu.
0 Comments