Header Ads Widget

KAMANDA WA POLISI MKOA WA PWANI AFUNGA MAGUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO ASKARI

 




KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishina Msaidizi wa Polisi Pius Lutumo, amefunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wakaguzi wa Polisi toka Wilaya zote na vikosi vyake huko Kibaha mkoani Pwani.


Akifunga mafunzo hayo ya awamu ya pili huku akiwataka wakaguzi hao kuwa na UTII na kwenda kufanya kazi kulingana na viapo vyao.


Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa miezi miwili yamefungwa Leo katika viwanja vya Polisi Mkoa wa Pwani ambapo Kamanda Lutumo amewataka Askari hao kufanya kazi kwa mujibu wa viapo vyao.



amefafanua kuwa hategemei kuona Mkaguzi aliyehitimu mafunzo hayo kufanya kazi kinyume na kiapo chake kwenye kuwahudumia wananchi.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI