Header Ads Widget

MANISPAA YA IRINGA YAANZA KUANGAMIZA MBWA WANAOZAGAA MJINI



Serikali Ya Manispaa Ya Iringa Imeanza Kutekeleza Oparesheni Maalum Ya Kuwasaka Na Kuwaangamiza Mbwa Wanaozagaa Na Kushambulia Watu Katika Mitaa Mbalimbali Ya Mji Wa Iringa.


Mstahiki Meya Wa Manispaa Ya Iringa Ibrahim Ngwada alisema Kuwa Idadi Kubwa Ya Mbwa Wanaozagaa Mitaani Na Kujeruhi Watu Wanatoka Maeneo Ya Mbali Na Mji Wa Iringa Ikiwemo Ukanda Wa Pawaga.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS