DODOMA.
Mbunge wa jimbo la Hai Saasisha Mafue kwa niaba ya mbunge wa jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi jana tarehe 29.08.2023 ameuliza swali la msingi bungeni kama ifuatavyo:
Je kuna mkakati gani wa kutatua changamoto za wakulima waliowekeza kwenye SACCOS na fedha zao kupotea??
Na hapa naibu waziri wa Kilimo Antony Mavunde akatoka majibu kwa niaba ya serikali kama ifuatavyi.
0 Comments