Header Ads Widget

STRETO FC WAPOKEA KICHAPO CHA GOLI 4-1 DHIDI YA UNDER THE TREE FC.

Na Simon Joshua - Matukio Daima App, Iringa.

Ligi ya Manispaa ya Iringa (Ngajilo Municipal League 2023) ikiwa inaendelea kwa michezo mbalimbali, Timu ya Streto FC ya mjini Iringa imepokea kichapo cha goli 4-1 kutoka kwa Under the Tree FC na kufanya timu hiyo kuondolewa rasmi katika michuano hiyo huku ikibakiza mechi moja kwa ajili ya kukamilisha ratiba.

Akizungumza na Matukio Daima Media, Kocha mkuu wa timu hiyo amesema kuwa wanaondoka katika mashindano hayo lakini wanaenda kujifua na kuwa imara zaidi kwa ajili ya mashindano hayo hapo mwakani.




































































Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI