Header Ads Widget

JESHI LA POLISI LATOA NENO GARI LA CHADEMA KUCHOMWA MOTO GEITA

 


Jeshi la Polisi Mkoani Geita linaendelea kuchunguza kufanya uchunguzi wa Tukio la kuchomwa kwa Gari T.658 DQL liliokuwa likitumika kufanyia Matangazo ya Mkutano wa Chama cha Demokrsia na Maendeleo CHADEMA jana wilayani Chato Mkoani Geita.


Akithibitisha tukio hilo Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP.Adam Maro amesema mpaka sasa chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na wametuma Askari kwa ajili ya kwenda kchunguza tukio hilo.


Kaimu Kamanda Maro amesema mpaka sasa wanamshikilia mtu mmoja katika eneo la tukio hilo Ambaye alikuwa Mlizi wa hoteli ya Twigwa anayefahamika kwa Jina la Cprian

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI