Header Ads Widget

DON BOSCO FC YAIBURUZA RUAHA ACADEMY 6-1.

Na Simon Joshua - Matukio Daima App, Iringa.

Timu ya Soka ya Don Bosco FC yenye makao yake katika mji wa Iringa imeishushia kipigo kizito timu ya Ruaha Academy FC ya mjini Iringa kichapo cha Mabao 6-1 katika mmoja wa michezo ya Ligi ya Manispaa ya Iringa (Nfgajilo Iringa Municipal League).


Huu ni mchezo wa muendelezo wa ligi hiyo kuelekea kufuzu hatua ya robo fainali.










Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS