Header Ads Widget

ASKOFU MALASUSA MKUU MPYA WA KKKT/SOMA HABARI KUBWA MAGAZETINI LEO IJUMAA AGOST 25/2023

 


Mkutano Mkuu wa 21 wa kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) umemchagua askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dr Alex Malasusa kuwa mkuu mteule mpya wa KKKT kupokea nafasi ya Askofu Dkt Frederick Shoo aliyestaafu baada ya kumaliza muda wake wa uongozi .

Mwenyekiti wa uchaguzi huo iliyofanyika Arusha Askofu Amon Mwenda alisema Askofu Malasusa ameshinda Kwa kura 167 sawa na asilimia 69.3 ya kura zote 241 zilizopigwa huku askofu Abednego kesho Mshahara akipata kura 73 sawa na asilimia 30.3.
Askofu Malasusa anarejea kwenye nafasi hiyo tena ,nafasi ambayo alikwisha ipngoza kati ya mwaka 2007 hadi 2015 alipomaliza muda wake na kumkabidhi Dkt Shoo.

ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU KWA WAKATI DOWNLOAD APP YA MATUKIO DAIMA KUPITIA GOOGLE PLAY STORE NI BURE KABISA 





















Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI