Header Ads Widget

WATU ZAIDI YA 300 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA TRENI KUGONGANA




Kutoka Katika Jimbo la Odisha Mashariki Mwa india 🇮🇳 Usiku wa Kuamkia leo Zaidi ya Watu 300 Wamefariki Dunia na Wengine Zaidi ya 650 Wamejeruhiwa Baada ya Treni Mbili za Abiria na Moja ya Mizigo Kugongana.


 Takribani Magari 50 ya Wagonjwa Yamepelekwa Katika Eneo la Tukio Wilaya ya Balasore, Katibu Mkuu wa Jimbo Hilo, Pradeep Jena Amethibitisha, Kwa Wanahabari Kwamba Timu za NDRF na SDRF Ziko Eneo la Ajali na Waokoaji Kati ya 600 Hadi 700 Wametumwa Kwaajili ya Shughuli ya Uokoaji. 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI