Header Ads Widget

TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU

Uongozi wa Matukio Daima Media unaomba Radhi Kwa usumbufu uliojitokeza Kwa muda wa siku tatu Kwa Blog kutokuwepo hewani hasa walioingia Kwa kutumia jina la www.matukiodaimamedia.co.tz ila walioingia Kwa kupitia www.matukiodaimatz.blogspot.com waliendelea kupata habari zetu 

 Tulikuwa na changamoto ya kiufundi ambayo Sasa imekwisha .


Matukio daima Media tunakumbushana mdau kuendelea kutufuatilia kupitia majukwaa yetu mbalibali kwenye Mitandao ya kijamii Instagram, TikTok Faceboock na Twiter Kwa jina la Matukio daimaTv na tembelea Chanel ya Matukio Daima Tv na App yetu Matukio Daima

Uongozi wa Matukio Daima Media unaomba wale wenye matangazo na changamoto nyingine wapige simu 0754 026 299 

Email: matukiodaima3@gmail.com

Imetolewa na uongozi wa Matukio Daima Media

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS