Mjumbe Wa Kamati Kuu Chadema Taifa Patrick Ole Sosopi akiwa Katika mikutano iliyofanyika wilaya ya Mpwapwa ,kata ya Berege Jimbo la Mpwapwa huku wananchi wakiwa wamepanda juu ya miti kumsikiliza
Viongozi mbali mbali wa Chadema wakimpokea Patrick Ole Sosopi Mpwapwa
Shamgwe za wananchi mapokezi ya Sosopi Mpwapwa
Sosopi ameendelea na ziara ya kujenga Cha Katika mikoa mbali mbali nchini
0 Comments