Header Ads Widget

BODABODA WAPATA NEEMA MAADHIMISHO WIKI YA NENDA KWA USALAMA, MERIDIAN YAWAPATIA REFLECTORS 100



Meridianbet yaadhimisha wiki ya nenda kwa usalama barabarani, kwa kugawa Reflector kwa Bodaboda ambapo walishirikiana vyema na Msaidizi wa Mkuu wa Usalama Barabarani Wilaya ya Kawe Inspekta Alex Duguza kutoa nasaha na elimu kwa madereva hao kuhusu namna ya kupunguza ajali za barabarani.



Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni waliwatembelea Bodaboda wa maeneo ya Kawe na kuwapa Reflector kujinga na ajali.



Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Meridianbet Matina Nkurlu aliongozana na Msaidizi wa Mkuu wa Usalama Barabarani Wilaya ya Kawe Inspekta Alex Duguza katika zoezi hilo, pamoja na timu nzima ya Mabingwa wa kutoa odds kubwa za ubashiri kwenye maduka ya ubashiri ambapo wanakupa nafasi ya kubashiri mubashara pia, katika zoezi hilo hili lilikuwa ni neno lake.



Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.



“Tumewatembelea wenzetu wa Bodaboda ni wadau wetu hawa na sisi tumeamua kuja kuwaunga mkono kwenye kazi yao hii, tumetoa Reflector maalum kabisa ili kupunguza ajali zinakatisha ndoto zao, hivyo mchango huu kwao utaenda kuchochea kasi ya ufanyaji kazi”



Akiwakilisha kundi kubwa la Bodaboda mwenyekiti wa bodaboda Kelvin Mdosokile alisema, Meridianbet wamefanya kitu kikubwa kutahamini juhudi zao na kazi yao ambapo makampuni mengine waige mfano huo.



“Kama ambavyo wanatoa huduma bora za ubashiri kwa kutoa odds kubwa, machaguo 1000+ na kasino ya mtandaoni, hiki walichokifanya ni kuthamini kazi yetu, makampuni mengine tunayomba yaige mfano wa Meridianbet mabingwa wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni” Kelvin



Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.




Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI