Header Ads Widget

MBUNGE MATONDO ATOA VIFAA MAALUM KWA WATU WENYE ULEMAVU

 


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima, amempongeza Mhe. mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Mwanza Furaha Matondo kwa kutoa msaada wa vifaa maalum kiti mwendo pamoja na fimbo maalum kwa watu wasiona huku akihasa jamii kuiga mfano huo



" kwa kipekee kabisa tunao wabunge kumi na tano kwa Mkoa wa Mwanza, kwa ajili ya Majimbo tunao tisa, wa uteuzi wa Rais tunao wawili, lakini tuna wa viti maalum watatu pomoja na mbunge wa vijana, kitendo cha mhe mbunge Furaha Matondo kutoa vifaa hivi kafanya jambo kubwa sana, Mhe Jamal Babu Mnec Mkoa wa Mwanza  



Awali Mbunge huyo wa viti Maalum Chama cha Mapinduzi Mkoa huo Mheshimiwa Furaha Matondo amekabidhi vifaa maalum kwa watu wenye mahitaji maalum ambapo amekabidhi kiti  mwendo pamoja na fimbo maalum kwa watu wenye ulemavu wa macho amesema lengo la kutoa msada huo ni katika kusaidia jamii yenye mahitaji hayo maalum.


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI