Header Ads Widget

DITOPILE : ATOA MSAADA KWA WANAFUNZI 1000 VIFAA VYA SHULE VYENYE THAMANI ZAIDI YA TSH. MILIONI 30

 





Na Hamida Ramadhan Matukio Daima APP Dodoma



MBUNGE viti Maalum Mkoa wa Dodoma anayetokana na Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)  Mariam Ditopile amewawezesha wanafunzi wenye Mahitaji Maalumu vifaa vya shule  kwa wanafuzi 1000 vyenye thamani ya zaidi  ya shilingi Milioni 30.



Akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo kwa wilaya zote saba za Dodoma Ditopile amesema amefanya hayo ikiwa ni kusherehekea kumbukizi ya  Kuzaliwa RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.



Aidha Amewaomba Wadau Mbalimbali Mkoani humo na Nchini Kutoa Kipaumbele Zaidi Katika Sekta ya Elimu kwa kutoa misaada hasa wa Watoto Yatima na Wenye Mazingira Magumu Yatayo sababisha Kukatisha Masomo na kupoteza Ndoto Zao Za Elimu.



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI