Header Ads Widget

ALPHA AGROVETS SUPPLIES LTD IRINGA

























 HUU NI WAKATI WAKO MKULIMA NA MFUGAJI KUPATA HUDUMA BORA KWA GHARAMA NAFUU ZAIDI.



ALPHA AGROVETS SUPPLIES LTD WAMEKUJA KUKUHUDUMIA WEWE MKULIMA 


Kwa huduma za viuatilifu vya kupalilia mazao aina zote kama vile, mahindi, mpunga, maharage, njegere, alizeti, soya, vitunguu , nyanya na mazao mengine tumekusogezea mkulima .


Pia   tunauza bomba za  kupulizia viuatilifu kwa mazao yote zipo Bomba za kuchaji na zakawaida, mashine za kupandia mahindi, maharage njegere alizeti soya vitunguu, karanga pia zipo .


Ndani ya maduka yetu  tunauza viuatilifu vya wadudu, ukungu, kutu, N.k  Pia tunauza Mbolea aina zote kwa ruzuku ya serikali bila kusahau majembe ya mikono na mambuti aina zote .


ALPHA AGROVETS SUPPLIES LTD Tunapatikana Stendi kuu ya zamani Miyomboni mjini Iringa ,pia tumefungua duka jipya kubwa la kisasa eneo la Samora Round About mjini Iringa na Ilula mtua 


Au tupigie simu Kwa namba 

 0739702080,0612452080


ALPHA AGROVETS SUPPLIES LTD NI MKOMBOZI WA KWELI WA MKULIMA .

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI