Na Zulufa Alfan Matukio Daima App Simiyu
Mkuu Wa mkoa wa Simiyu Dr Yahaya Nawanda amewaagiza wakuu wa wilaya na WAKURUGENZ na viongoz wa dini kuhakisha wanahamasha vyema swala la chanjo awamu ya nn
Dr Nawanda Amesema Ayo katika kikao cha watumishi wa afya mkoa kilicho fanyika katika ofisi ya mkuu Wa mkoa ya kuwapatia chanjo ya ugonjwa wa polio watoto walio na umri chini ya miaka mitano
Aidha Dr Nawanda Amesema kuwa viongoz wa dini watoe hamasa kwa waumini wao makanisan na misikitin kujitokeza kuchanja kwa wingi nakufikia lengo la asilimia Mia moja
Kwa upande wake mratibu wa chanjo mkoa wa Simiyu Beatrice kapufia Amesema mkoa unatoa chanjo ya polio awamu nne kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano ambapo lengo ni kuchanja watoto laki nane sitini na arobain
0 Comments