Na Zulufa Alfan Matukio Daima App Simiyu
Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali mkoani Simiyu wamepata mafunzo kutoka mradi wa shule Bora unaotekelezwa na serikali ya Tanzania kupitia mfuko wa Ukaid wa Uingereza
Mradi huo wa elimu Bora unahusisha mikoa Tisa nchini ambayo ni Simiyu, Singida, Mara, Katavi, Rukwa, Pwani, Tanga, Kigoma na Dodoma
Mradi wa shule Bora unachangia kuinua ubora wa elimu jumuishi na mazingira salama ya kujifunzia wavulana kwa wasichana
Aidha mradi wa shule Bora unalenga kusaidia pia watoto wenye mahitaji maalum na walemavu
0 Comments