Header Ads Widget

DC MTWARA AMPONGEZA AFISA HABARI MANISPAA MTWARA MIKINDANI




Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Dunstan Kyobya amempongeza Afisa Habari wa Manispaa ya Mtwara Mikindani Jamad Abdallah kwakufanya kazi inayoonekana na kufanya Manispaa hiyo ionekane mara Kwa mara kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari. 


Alisema kuwa amekutwa akipitia vyombo m alimbalu vya habari na kioona Manispaa hiyo iking'aa na kimfanya aonekane mara kwa mara hivyo kuona umuhimu wa kumpongeza Afisa Habari huyo. 


"Natumai hivi vikundi 35 vya mikopo tulivyipa pesa hapa vitaonekana kwenye vyombo vya habari sambamba na makala mbalimbali Ili kuona nini wanafanyia na kuwaongezea hamasa ya kufanyakazi na kuweza kurudisha mikopo Kwa wakati" 


"watangazeni afisa habari anafanya kazi nzuri hata ukiingia kwenye mtandao kila mara unaiona mtwara mc wanakikundi muiteni aje awatangaze kumbukeni biashara ni matangazo biashara ni matangazo tunakataka kila mmoja kazi yake ionekane ili wengine waweze kuiga kwa vitendo"alisema Kyobya

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI