Header Ads Widget

CCM YAPITISHA MABADILIKO IDADI YA WAJUMBE

 


Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamepitisha marekebisho yaliyofanyika katika Katiba ya chama hicho ikiwemo idadi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC), ambapo sasa zitakuwa Tanzania Bara 20 na Zanzibar 20 badala ya 15 kila upande.

Pia, nafasi za uteuzi kwa wajumbe wa NEC zinaongezeka kutoka sita hadi 10, huku nafasi ya ukatibu wa siasa na uenezi wa mikoa kuwa ya ajira badala ya kuteuliwa.




Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI