Kufuatia ajali ya Ndege ya Precision iliyotoke mkoani Kagera baada ya kuzama ziwa Victoria Rais Samia Suluhu Hassan ametuma Salamu za pole Kwa mkuu wa mkoa wa kagera .
" Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya ndege ya Shirika la Precision katika Ziwa Victoria, mkoani Kagera. Natuma salamu za pole kwa wote walioathirika na ajali hii. Tuendelee kuwa watulivu wakati huu zoezi la uokoaji likiendelea huku tukimuomba Mwenyezi Mungu atusaidie".
Ajali hii imetokea Leo majira ya asubuhi na taarifa za jeshi la Polisi zimethibitisha na kuwa jitihada za uokozi zinaendelea .






0 Comments