Header Ads Widget

AJALI YA NDEGE YA PRECISION BUKOBA ...

 


Mpendwa mtanzamaji na mtembeleaji wa Matukio Daima Media tumepokea taarifa ya kusikitishwa muda huu kuwa Ndege ya Kampuni la Ndege la Precision Air imeanguka katika Ziwa Victoria baada ya kushindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Bukoba wakati ikijaribu kutua kwenye uwanja huo asubuhi hii leo Jumapili


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na wanaendelea na juhudi za uokozi.


Matukio Daima Media tutaendelea kukujuza zaidi baada ya mwandishi Wetu kufika eneo la tukio.


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI