Header Ads Widget

MAGAZETINI LEO JUMATATU SEP 19,2022:PANYA ROAD WALIVYOUWAWA NA POLISI DAR,KATIBU MKUU CCM MGENI RASMI HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KKKT MAFINGA JUMAMOSI SEP 24...

Mkuu wa Dayosisi ya maandalio ya kanisa la kiinjili la kilutheli Tanzania (KKKT) Mufindi Mch Dkt Antony Kipangula anawaalika wakristo wote na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki Katika harambee ya ujenzi wa Kanisa kuu la Mafinga itakayofanyika Jumamosi September 24,2022 kuanzia Saa 3 asubuhi na mgeni rasmi atakuwa katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo 













 









Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI