Header Ads Widget

LEO NI SIKU YA KUMBUKIZI YA VIFO VYA WATU TAKRIBANI 3000 KWENYE SHAMBULIO HUKO NEW YORK

 


Leo Taifa la Marekani linaadhimisha kumbukumbu ya miaka 21 ya mashumbulio katika majengo mawili ya makubwa ya kibiashara huko New York na kusabibisha Vifo takribani 3000 na huaribifu Mkubwa wa Majengo na Miundo mbinu Tarehe 11 September Mwaka 2001.

Shambulio lilitekelezwa kwa ndege Mbili kupita katika Majengo hayo mawili na kusabibisha mlipuko na majengo hayo yote mawili kuporomoka chini.

Tukio hili lilipelekea Rais wa kipindi hicho George W Bush kutangaza msako  wa vikundi Vyote vya kigaidi Duniani waratibu na wadhamini yanakotokea machimbuko yote ya kigaidi.

Agizo la Rais Bush lilitekelezwa kwa kuanza kuwapeleka National Guard maeneo mbalimbali ambayo waliyo yahisi kuwa ndio chimbuko la magaidi Duniani na ndio maeneo ambayo wale wanaohusika na Mashambulio hayo ya Majengo mawili ya kibiashara Wanakotokea.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI