sio uchoyo ni kwamba wakati tunagawana hatukua na taarifa zako ,haukwepo kwenye mpango wala kwenye Bajeti. Tungegawanya tofauti Sensa ni kesho Tarehe 23 jitokeze Sensa Kwa maendeleo jiandae kuhesabiwa -Dr Mwigulu Nchemba Waziri wa fedha
Na Matukio Daima Media App, Mbeya SERIKALI mkoani Mbeya imewataka vijana,wajasiriamali…
0 Comments