Mkuu wa mkoa wa Rukwa Queen Sendiga akifunga rasmi Ligi ya Sensa Cup mkoa wa Rukwa leo huku akiwahamasisha wananchi wote kuwa tayari kuhesabiwa
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Queen Sendiga akihamasisha zoezi la SensaMkuu wa mkoa wa Rukwa Queen Sendiga Leo amefunga Ligi fupi ya Sensa huku akiwataka wanamichezo na wananchi wote kuwa tayari kuhesabiwa.
0 Comments