JESHI la Polisi Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, limetumia mabovu ya machozi kuwatawanya wananchi waliofika kwenye makaburi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania( KKKT) wakiwa na lengo la kufukua kaburi la kijana aliyezikwa siku kadhaa zilizopita na kisha kuonekana mtaani.
0 Comments