Header Ads Widget

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZA SAFARI YA MWISHO YA AUGUSTINE LYATONGA MREMA ALIYEZIKWA LEO KILARACHA

 



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu George Simbachawene akiweka shada la ua katika kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP Augustine Lyatonga Mrema aliyezikwa jana kijijini kwao Kilaracha wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.



Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Augustine Lyatonga Mrema likishushwa katika ndani ya kaburi jana ambapo alizikwa kijijini kwao Kilaracha wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro m

Mke wa marehemu Augustine Lyatonga Mrema, Doren Mrema akiweka shada la ua kwenye kaburi la mumewe jana alipozikwa nyumbani kwake Kilaracha wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.




Waziri Mkuu mstaa, John Malecela akiweka shada la ua katika kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP Augustine Lyatonga Mrema aliyezikwa jana kijijini kwao Kilaracha wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.


Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu akiweka shada la ua katika kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP Augustine Lyatonga Mrema aliyezikwa jana kijijini kwao Kilaracha wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI