Header Ads Widget

YAMETIMIA BERNARD MORRISON KUONGEZA NGUVU ZAIDI YANGA

 


Siku chache baada ya Bernard Morrison kurejea jijini Dar es Salaam huku akitoa ujumbe maalum uliosomeka, "Mara nyingi tunakatishwa tamaa na wale tunaowapenda na kuwaamini. lakini wacha nifanye hadithi yangu kuwa fupi na rahisi, nahitaji vipande 100 vya jezi za Simba kutoka kwa mashabiki waaminifu ili zipewe marafiki na familia nchini Ghana.

"Hii ni kutokana na nyinyi mashabiki kuniaga kwa sababu nitakatishwa tamaa ikiwa nitaendelea kusubiri kupata moja kutoka kwa klabu yangu. Tafadhali andika jina lako nyuma na namba 3. 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS