Header Ads Widget

RAIS SAMIA SULUHU AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA VYAMA MBALIMBALI VYA SIASA KISIWANI PEMBA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Kisiwani Pemba tarehe 15 Julai 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha CUF Kisiwani Pemba tarehe 15 Julai 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama Cha ADC Kisiwani Pemba tarehe 15 Julai 2022.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS