Baada ya Shirikisho la mpira wa miguu TANZANIA (TFF) kupitia kamati ya maadili kutoa Adhabu Kali ya kumfungia kutojihusisha na michezo ya Ndani na msemaji wa Yanga Haji Manara .
Msemaji huyo ameshindwa KUVUMILIA na kuamua kufunguka haya kupitia ukurasa wake wa Twitter Kwa kuandika maneno haya .
Iwe ni Jambo la Kheri au Shari, neno langu kuu ni kumshukuru Muumba Mbingu na Ardhi Kwa neno moja kubwa na lenye maana pana sana.
AL-HAMDULILLAH 🙏🏻
Thanks football 👏
0 Comments