Header Ads Widget

MKURUGENZI TARI ASEMA TARI IMEJIPANGA USAMBAZAJI TEKNOLOJIA KATIKA KILIMO

 


Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Dk. Geoffrey Mkamilo anesema,TARI inaendelea kuwekeza kwa nguvu katika usambazaji wa teknolojia na kutumia vyombo vya habari kusambaza habari mbali mbali za tafiti za kilimo.


Dk. Mkamilo ameyasema hayo leo katika kikao kazi cha viongozi Wakuu wa Idara na vituo 17 vya Taasisi hiyo.

Dk. Mkamilo amesema kuwa Taasisi imepata mafanikio ya usambazi wa teknolojia za kilimo kupitia vyombo vya habari. 

Dk. Mkamilo aliwataka Wakurugenzi na Mameneja wa Vituo kuwekea umuhimu katika kuhakikisha kuwa Usambazaji wa Teknolojia kupitia njia mbalimbali za Mawasiliano unasimamiwa kikamilifu.






TEMBELEA CHANEL YA MATUKIO DAIMA HOTNEWS KWA HABARI WAKATI WOTE AU PAKUA APP YA MATUKIO DAIMA KUPITIA GOOGLE PLAY STORE NI BURE

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI