TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Waziri Mkuu Kivuli kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, ndugu Doroth Semu , kesho Ijumaa, April Mosi/2022 atazungumza na vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali ya Kitaifa.
Eneo: Makao makuu ya chama Kijitonyama DSM
Muda Saa 5: 00 Asubuhi
Waandishi wa habari mnakaribishwa
Imetolewa na:
Janeti Joel Rithe
Naibu Katibu Habari, Uenezi na Mahusiano kwa Umma.
Leo Marchi 31/2022.
0 Comments