Makamu mwenyekiti wa chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara Philip Japhet Mangula leo Alhamis Machi 31,2022 amewasilisha barua kwenye Halmashauri kuu ya CCM kuachia ngazi nafasi yake hiyo.
Wakati huo huo aliyekuwa katibu mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman kinana ameteuliwa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti Tanzania Bara ,nafasi ilikuwa ikishikiliwa na Philip Mangula aliyejiuzulu.
ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI MPYA KWA WAKATI JIPATIE APP YA MATUKIO DAIMA INAYOPATIKANA GOOGLE PLAY STORE BURE KABISA






0 Comments