Header Ads Widget

MARUFUKU WATOTO CHINI YA MIAKA 9 KUPANDA BODABODA -POLISI

 


Jeshi la Polisi Kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Iringa limepiga marufuku watoto chini ya miaka 9 kupanda piki kipi (boda boda) .


Akizungumza na Matukio Daima APP  , Mkuu wa kikosi Cha usalama barabarani mkoa wa Iringa ASP Yusuph Kamota amesema ni kosa kisheria mtoto chini ya umri wa miaka 9 kupanda Boda boda kwani hawezi kuvaa kofia ngumu ( Helmet) kama sheria inavyotaka 

Kwa kuwa sheria inataka Kila anayepanda boda boda kuvaa kofia ngumu ni vigumu Kwa mtoto mdogo kumkinga na ajali.

Hivyo alitaka Kila mwananchi kuzingatia sheria za usalama barabarani Kwa kuepuka kuvunja sheria Kwa kumpikia mtoto kwenye bodaboda .


ILI KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI MPYA KWA WAKATI JIPATIE APP YA MATUKIO DAIMA INAYOPATIKANA GOOGLE PLAY STORE BURE KABISA  

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI