wananchi Mbeya wakimtazama ajali ya Lori na Hiace ajali hii haina uhusiano na ajali ya Leo
Watu 5 wamefariki dunia na wengine wanne wakijeruhiwa baada ya lori la mizigo kufeli breki mteremko wa Mbalizi mkoani Mbeya Kwa kuyagonga magari madogo matatu na Bajaji pamoja na watembea Kwa miguu eneo hilo
Post a Comment
0
Comments
MAGAZETI
NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI
TV News
World News
UZA NUNUA NASI LEO
Subscribe Us
MATANGAZO
TIBA YA UKANDAJI WA MGONGO, KICHWA KUTOKA NEEMA BEAUTY, SPA SALOON
0 Comments